Tag: amuua
Baba adaiwa kumnyonga mwanaye na kisha ajinyonga
Mtoto Deniva Derick mwenye umri wa miaka miwili ameuawa kwa kunyongwa hadi kufa na anayedaiwa kuwa baba yake mzazi, Derick Mwangama (23), ...Amuua baba yake na kumzika kwenye shamba la familia
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Musee Ngui, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ngui Ngunza na kumzika kwenye ...Achomwa moto kwa madai ya kumuua mkewe, kumpika vipande na kuwapa watoto
Mwanamume mmoja nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Stephen Onserio (50) amechomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa madai ...Amuua mpenzi wake, akatakata viungo na kuvitupa
Jeshi la Polisi linamshikilia Abdalla Miraji Mussa (42) mkazi wa Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam kwa kumuua mwanamke aitwaye Ezania Kamana ...Mume adaiwa kumuua mkewe na kumzika chumbani
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamfuatilia mkazi wa Manispaa ya Tabora (ambaye jina lake limehifadhiwa) anayedaiwa kumuua mkewe na kumzika kwenye shimo ...Mtoto amuua mama wa kambo kisa mali za baba yake
Watu watatu akiwemo mama mjamzito wameuawa katika kitongoji cha Kilimahewa, kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita ambapo wawili ...








