Tag: anayedaiwa
Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Padri anayedaiwa kuhusika kwenye mauaji ya mtoto albino asimamishwa kutoa huduma za kiroho
Jimbo la Katoliki la Bukoba limemsimamisha huduma za kichungaji, Padri Elipidius Rwegoshora anayedaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto albino, Asimwe Novart mpaka ...Anayedaiwa kumchoma kisu mpenzi wake asomewa mashitaka akiwa wodini
Said Selemani (32), mkazi wa Arusha akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure, amesomewa shitaka la ...





