Tag: ANGOLA
Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mzozo wa DRC
Angola imeamua kujiondoa kama mpatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya kushindwa kufanikisha mazungumzo ya ...Angola: 50 wafariki kwa kunyweshwa mitishamba ili kujua kama ni wachawi
Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa dawa ya mitishamba ili kuthibitisha kwamba hawakuwa wachawi. Msemaji wa polisi, ...