Tag: apatikana
Apatikana na hatia ya mauaji ya jirani yake aliyemkuta chini ya kitanda
Mwanaume mmoja huko Nakuru nchini Kenya aitwaye Cyrus Kipng’eno Rono amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumshambulia jirani yake aitwaye Moody ...Mwanamke apatikana na hatia ya kuua familia ya mume wake wa zamani
Erin Patterson (50) kutoka Leongatha, jimbo la Victoria kusini mwa Australia, amepatikana na hatia ya mauaji ya wazazi wa mume wake wa ...Mganga wa kienyeji apatikana na mafuvu 24 ya binadamu nchini Uganda
Mwanaume mmoja nchini Uganda anayetambulika kwa jina la Ddamulira Godfrey anashikiliwa na polisi baada ya kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya ...Mwanafunzi Esther aliyepotea shuleni apatikana
Mwanafunzi wa Sekondari ya Panda Hill iliyoko mkoani Mbeya, Ester Noah Mwanyilu aliyepotea Mei 18, mwaka huu amepatikana katika eneo la Ifisi, ...






