Tag: Arusha
Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Wawili washikiliwa kwa mauaji Arusha
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kumuua Israel Paulo (36), Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ...Wanafunzi waliofariki katika ajali Arusha wafikia watano
Wanafunzi waliofariki kutokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha katika mitaa ya Dampo Sinoni, Kata ...Uwanja mpya wa mpira Arusha kupewa jina la Rais Samia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha unatarajiwa kupewa jina ...Waliojifanya maafisa TRA Arusha wakamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli ...