Tag: Arusha
Wakili Madeleka akamatwa Arusha
Wakili wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama Kuu ...Rais Samia: Wanasheria iangalieni kwa uzito DRC
Rais Samia Suluhu Hassan ameikiagiza Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) kuiangalia kwa upana nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo ...Washtakiwa wa mauaji ya Askari Loliondo waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru washtakiwa wote 24 wa kesi ya mauaji ya Askari wa Jeshi la Polisi, Koplo Ganus ...Watoto watano wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Arusha
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, mkoa wa Arusha, wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika ...IGP Sirro: Wanasiasa acheni kuhamasisha uvunjifu wa amani Loliondo
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi la uwekaji alama kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani ...Hatma ya uhuru wa Sabaya na wenzake kujulikana leo
Hatma ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imepangwa kujulikana leo ambapo Mahakama ya ...