Tag: ashikiliwa
Mama ashikiliwa tuhuma za kuua watoto wake watatu wakiwemo pacha
Polisi wa Mlolongo, Kaunti ya Machakos nchini Kenya wanamshikilia mwanamke aitwaye Linet Mubaba, anayedaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu baada ya kutokea ...Ashikiliwa kwa tuhuha za mauaji ya watoto watatu wa familia moja
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Doto Lubongeja mkazi wa Madundasi wilayani Mbarali, kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kuvunja na kuiba pesa benki
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limemkamata Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja na kuingia ...Clemence Mwandambo ashikiliwa kwa tuhuma za uchochezi na uchonganishi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linamshikilia mwalimu wa shule ya Awalii, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni A mkoani humo ...Ashikiliwa kwa mauaji ya mdogo wake wa miaka mitano
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Nyabusa Musa Daudi (31) kwa tuhuma za mauaji ya Ibrahim Wambura Daudi (05) mkazi wa kijiji ...Mume ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, chanzo mgogoro wa kifamilia
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia James Lugembe (55), mkazi wa Kitongoji cha Manzese B, Kata ya Mkwatani, Wilaya ya Kilosa, kwa ...








