Tag: ashikiliwa
Dereva Bodaboda ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Stephen Chalamila
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanaume mmoja dereva wa Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya Stephen Evaristo Chalamila (23) mkazi wa ...Kiongozi wa CHADEMA ashikiliwa kwa kuhamasisha uvamizi kwa wasimamizi wa uchaguzi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Eliewaha Mgonja, (42) ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kumnyonga mtoto wa miaka saba
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Mahango wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumfanyia ...Mke ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mume wake akishirikiana na hawara
Jeshi la Polisi Mkoani Songwe linamshikilia mke na hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mumewe, Victor Mwakapenda (41) mkazi wa Mtaa ...Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...