Tag: ashikiliwa
Adaiwa kuua binti wa kazi na mtoto wa mwalimu aliyemkataa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu wawili wakazi wa Kitongoji cha Kabatini Kijiji cha Mpembe Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa ...Mwanafunzi ashikiliwa kwa kuchoma moto madarasa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Yesse Charles (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Lyela, kwa tuhuma za ...Ashikiliwa kwa kumwagia maji ya moto mke mwenzake msibani
Mkazi wa Kata ya Lugata, Kisiwa cha Kome wilayani Sengerema, Vumilia Kasembo (32) anashikiliwa na Ofisi ya Mtendaji wa Kata kwa madai ...Mbunge ashikiliwa kwa shambulizi dhidi ya waandishi wa habari Ngorongoro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi ...Mvulana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10
Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na ...Amteka mtoto wake wa kambo akitaka fedha kutoka kwa mkewe
Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamemkamata mwanaume anayedaiwa kumteka nyara mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 8 ili alipwe pesa ...