Tag: ashitakiwa
Mange Kimambi ashtakiwa kwa kutakatisha fedha, adai Serikali inapanga kumrejesha nchini
Mwanaharakati Mange Kimambi anayeishi nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi nchini Tanzania, akidaiwa kutakatisha TZS milioni 138.5. Kwa mujibu wa hati ...Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Afrika Kusini ashitakiwa kwa ufisadi
Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini Afrika Kusini, Luteni Jenerali Dumisani Khumalo amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za udanganyifu ...‘Big Mama’ ashitakiwa kwa kusambaza picha za ngono za watoto
Mwanamke mmoja wa makamo, Regina Munyoki maarufu kama Big Mama, amefikishwa katika Mahakama ya Mombasa nchini Kenya akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza ...Tyler Perry ashitakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia
Mwigizaji na mwandishi wa filamu, Derek Dixon, amemshtaki Tyler Perry kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia katika kesi iliyowasilishwa wiki iliyopita katika ...Jaji wa Mahakama ashitakiwa kwa kumtorosha mtuhumiwa
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Milwaukee, nchini Marekani, Hannah Dugan, amekamatwa na maafisa wa FBI na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ...Ashitakiwa kwa kughushi wosia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imempandisha kizimbani Mohamed Omary (64) mkazi wa Kawe Mzimuni kwa mashitaka mawili ikiwemo kughushi ...








