Tag: auawa
Auawa akijaribu kumshambulia msanii jukwaani usiku wa Krismasi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Anthony Ouma, ameuawa na mashabiki wenye hasira katika klabu ya usiku mjini Bondo ...Tarime: Auawa kwa kisu akigombania mwanamke baa
Mkazi wa Kijiji cha Sirari, wilaya ya Tarime mkoani Mara, John Nyamesati ameuawa kwa kuchomwa kisu wakati akigombea mwanamke baa kisha mtuhumiwa ...Geita: Auawa na wasiojulikana kisha kukatwa kiganja
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milembe Seleman (43) mkazi wa mtaa wa Mseto ameuawa na watu wasiojulikana katika mtaa wa Mwatulole, ...Mfalme wa Hifadhi ya Serengeti ‘Bob Junior’ auawa
Simba anayefahamika kama mfalme wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, maarufu kwa jina la ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la ...Mpangaji adaiwa kumuua mwenye nyumba kwa madai ya kodi
Mkazi wa Kijjiji na Kata ya Likongowele, wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Siamini Mtopoka (40) amedaiwa kuuawa na mpangaji wake aitwaye Shabani ...Askari TANAPA auawa kwa mshale wenye sumu
Afisa Uhifadhi wa Wanyamapori Daraja la Kwanza wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Deus Mwakajegele ameuawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulika ...