Tag: balozi
Waziri Kombo apokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Angola
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka ...Mwenyekiti na Balozi wake wahukumiwa jela maisha kwa jaribio la kuua
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewahukumu kifungo cha maisha jela watu watano, wakiwemo mwenyekiti wa kijiji na balozi wake, baada ya kupatikana ...Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametangaza kuwa Balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, hatakiwi tena nchini ...ATCL yapunguza nauli kwa wanafunzi wanaorejea masomoni China
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya punguzo kwa wanafunzi wa Kitanzania wanaorejea nchini China kwa ajili ya masomo yao. Akitoa ...






