Tag: bangi
Watano wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za usafirishaji wa bangi
Watu watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma leo na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi kutokana na tuhuma za kusafirisha dawa ...Kiwanda cha kuzalisha bangi Rwanda kukamilika Septemba
Ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha bangi katika Mji wa Musanze uliopo Kaskazini mwa Rwanda unatarajiwa kukamilika katika wiki ya kwanza ya mwezi ...Wasanii wanaohamasisha uvutaji bangi kuwajibishwa
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za ...Mwanamke akamatwa akijaribu kupenyeza bangi kwa mumewe aliyeko gerezani
Mwanamke mmoja nchini Kenya, Caroline Imenza amekamatwa siku ya Jumapili kwa kujaribu kupenyeza bangi kwa mumewe ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa ...Polisi walaumu panya kwa kula 200kg za bangi za ushahidi
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 za bangi iliyonaswa kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi ...Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa
Zimbabwe imeruhusu bidhaa za katani na bangi kuuzwa kwa mara ya kwanza kama sehemu ya dawa za ziada zinazotolewa kwa wagonjwa. Mamlaka ...