Tag: barabara
Serikali yatenga bilioni 114 ukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoathiriwa na El Nino
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoharibiwa na mvua ...Tanzania na China kuingia makubaliano ujenzi wa barabara ili kupunguza foleni Dar es Salaam
Katika mkakati wa kupunguza kero ya foleni jijini Dar es Salaam, Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. ...Makonda aagiza barabara itengwe kwa ajili ya maonesho ya biashara kwa wajasiriamali
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa kutenga barabara maalumu katikati ya jiji hilo ...Barabara iliyotakiwa kukamilika Desemba 2023 yafikia asilimia 25
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri, LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai – Lituhi sehemu ya ...Barabara za mwendokasi kufungwa vizuizi vya umeme kuzuia magari binfasi
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka mkoani Dar es Salaam (DART) unatarajia kuweka vizuizi kwenye vituo vyake vya mabasi ili kuzuia magari na ...Kamati ya Bunge yashauri Barabara ya Kimara-Kibaha iwekewe tozo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo ...