Tag: barabarani
Rais: Abiria toeni taarifa mkiona ukiukwaji wa sheria barabarani
Rais Samia Suluhu amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha madereva wanaongeza umakini na kuzingatia sheria za barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa ...Wanaume waongoza kwa vifo vya ajali barabarani
Serikali imesema katika kipindi cha Januari Mosi hadi Desemba 13, mwaka huu jumla ya ajali 1,641 zimetokea barabarani na kusababisha vifo vya ...Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...AJALI: Polisi kukagua shule za udereva na namna madereva walivyopata leseni
Katika mkakati wa kupambana na wimbi la ajali nchini, Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limesema limekuja na mkakati wa ...Mambo 5 yatakayokusaidia kupunguza ajali unapokuwa barabarani
Ajali za barabarani zinaweza kuzuilika endapo kila dereva atafuata sheria na taratibu za udereva. Kujiamini kupitiliza na uzembe wa baadhi ya madereva ...Hatua 6 za kufuata tairi likipata pancha barabarani
Ajali nyingi za barabarani ambazo kusababisha vifo au uharibifu hutokana na matairi yasiyo na sifa kwenye magari. Kuna hatua mbalimbali za kufuata ...