Tag: Barakoa za vitambaa
Corona: Daktari ashauri watu kutobusiana na kuvaa barakoa wakijamiiana
Daktari mwandamizi kutoka Canada amewashauri watu kutobusiana na wavae barakoa wanapojamiiana ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona vinavyoendelea kuisumbua dunia. Dkt. ...Shirika la Afya Duniani labadili msimamo wake kuhusu uvaaji wa barakoa
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadilisha ushauri wake kuhusu uvaaji wa barakoa, ambapo sasa limesisitiza uvaaji (wa barakoa) katika maeneo yenye watu ...