Tag: Bashungwa
Waziri Bashungwa aipa NIDA miezi miwili vitambulisho viwafikie wananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni ...Bashungwa: Kupasuka kwa barabara Basunzu siyo kosa la mkandarasi
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema uchunguzi uliofanywa umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la ...Bashungwa amsimamisha kazi meneja wa TANROADS kwa uzembe
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa ...Bashungwa: Rais Dkt. Samia yupo ‘serious’ na ujenzi wa barabara
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini unafanyika kwa umakini na viwango vya ubora chini ya ...Wanafunzi zao la elimumsingi bila ada kujengewa madarasa 8,000 kidato cha kwanza
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia utoaji kiasi cha shilingi bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyoweza kupokea ...Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...