Tag: batili
Zipi sababu za mahakama kutamka kuwa ndoa iliyofungwa ni batili?
Kutokana na mahakama kutotambua ndoa na kuziita batili baada ya mke au mume kudai mirathi pindi mwenza wake anapofariki, watu wengi hujiuliza ...Mahakama yasema kuondolewa kwa CAG, Prof. Assad kulikuwa batili
Mahakama Kuu Tanzania imesema uamuzi wa kumwondoa kwenye utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa ...