Tag: benki
BENKI YA STANBIC TANZANIA YAIMARISHA UWEZESHAJI KWA WACHIMBAJI MADINI KUPITIA HUDUMA ZAKE ZA KIFEDHA
Sekta ya madini inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi wa Tanzania, ikichangia takribani asilimia kumi ya pato la Taifa na kuunganisha maelfu ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kuvunja na kuiba pesa benki
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limemkamata Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja na kuingia ...Hati Fungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London 🇬🇧
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) ...Benki ya NMB Yazindua Akaunti ya Kikundi
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza ...Mwanamke akamatwa kwa kupeleka maiti benki ili asaini mkopo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Érika de Souza Vieira Nunes wa nchini Brazil amekamatwa baada ya kupeleka maiti benki, akitumaini kwamba ...Mkuu wa Jeshi Sudan afungia akaunti za benki za jeshi la akiba (RSF)
Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa agizo la kuzifungia akaunti zote za benki za jeshi la akiba (Rapid ...







