Tag: Benki ya Dunia
Tanzania yateuliwa kunufaika na mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (World Bank Group, zimeitangaza Tanzania kuwa nchi ya pili, baada ya Madagascar ...CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia, akutana na Rais wa taasisi hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term ...Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia lapanda na kufikia TZS trilioni 25
Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la ...Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya ...Benki ya Dunia yasitisha mikopo kwa Uganda kutokana na sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia ...
Benki ya Dunia imetangaza kusitisha mikopo kwa ajili ya miradi nchini Uganda kwa siku zijazo kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali ...Benki ya Dunia yaipa Tanzania trilioni 4.9
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 ...