Tag: binti
Binti wa miaka 15 ashikiliwa kwa kutoroka na mtoto wa mwajiri wake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Christina Nashoni (15), mkazi wa Kijiji cha Malagarasi, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, kwa tuhuma za ...Serikali ya Kenya yaendelea kumpambania binti aliyehukumiwa kifo Vietnam
Serikali ya Kenya inafanya juhudi za haraka kuzuia kunyongwa kwa Margaret Nduta (37), Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam miaka miwili iliyopita na kuhukumiwa ...Binti auawa baada ya kwenda kumtembelea mpenzi wake Nairobi
Familia moja katika Kijiji cha Kirima, eneo la Ngaru, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya imepatwa na mshtuko mkubwa baada ya binti yao ...Binti adaiwa kumchinja mama yake akimtuhumu kumuua mtoto wake
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchinja mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Butamo ...Waziri Gwajima: Tukio la kupigwa kwa binti Songwe ni la kweli
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Doroth Gwajima amewaagiza wasidizi wa kisheria kufuatilia kwa ukaribu juu ya tukio ...Afikishwa mahakamani kwa kuzaa na binti yake
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ...