Tag: Bodaboda
Dereva Bodaboda ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Stephen Chalamila
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanaume mmoja dereva wa Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya Stephen Evaristo Chalamila (23) mkazi wa ...Polisi: Tunawasaka bodaboda waliochoma basi Tanga
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kuwasaka waendesha pikipiki maarufu bodaboda waliohusika kuchoma basi la kampuni ya Sai Baba Express katika Kata ya ...Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela ...MOI: Hatuwakati miguu bodaboda kwa makusudi
Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo (MOI), Prof. Abel Makubi amekanusha dhana iliyojengeka juu ya bodaboda kukatwa miguu wanapofikishwa hospitalini ...Machinga, bodaboda wamwagia sifa uongozi wa Rais Samia
Shirikisho la vyama vya madereva wa pikipiki, bajaji na wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam wameunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais ...Lema apewa siku saba kuwaomba radhi bodaboda
Chama cha Waendesha Pikipiki na Wamiliki wa Pikipiki Tanzania (CHAMWAPITA) kimemtaka aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kufuta kauli yake ...