Tag: Bodaboda
Bodaboda 8 mbaroni kwa kuvunja vioo vya magari 18 Rufiji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limesema linawashikilia watu 8 ambao ni madereva bodaboda katika Kijiji cha Kiwambo Kata ya Kitomondo ...Rais Samia: Tutaendelea kurahisisha shughuli za bodaboda nchini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kurahisisha ufanyaji wa shughuli za maafisa usafirishaji maarufu bodaboda ili waweze kuendelea kutoa huduma za ...Dereva Bodaboda ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Stephen Chalamila
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanaume mmoja dereva wa Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya Stephen Evaristo Chalamila (23) mkazi wa ...Polisi: Tunawasaka bodaboda waliochoma basi Tanga
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kuwasaka waendesha pikipiki maarufu bodaboda waliohusika kuchoma basi la kampuni ya Sai Baba Express katika Kata ya ...Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela ...MOI: Hatuwakati miguu bodaboda kwa makusudi
Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo (MOI), Prof. Abel Makubi amekanusha dhana iliyojengeka juu ya bodaboda kukatwa miguu wanapofikishwa hospitalini ...








