Tag: CCM
Balozi Karume aibua mapya baada ya kuvuliwa uanachama CCM
Balozi Ali Abeid Karume ameweka wazi kuwa hatakata rufaa baada ya kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiamini kuwa hajafukuzwa ndani ...Kinana: Rais Samia hawezi kuuza bandari
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdurahman Kinana, amezungumzia mjadala wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam huku ...Balozi Karume afutwa uanachama CCM
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume baada ya kutangaza kumuweka chini ...Mbowe: Serikali na CCM ziliwasaidia Wabunge 19, ni uhuni usiovumilika
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kitendo cha kupeleka wabunge 19 ndani ya bunge ambao hawakutokana na ...CHADEMA: Tutaitoa CCM madarakani mwaka 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ...CCM: Vyama vya upinzani viwe huru kususia uchaguzi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamidu Shaka amevitaka baadhi ya vyama vya upinzani kuwa ...








