Tag: CHADEMA
Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Katibu Mkuu, John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph ...Wasifu mfupi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Dkt. Emmanuel Nchimbi alizaliwa Desemba 24, 1971 mkoani Mbeya. Elimu yake ya Msingi aliianzia jijini Dar es Salaam katika Shule ya Msingi ...CHADEMA yakubali mdahalo na Makonda, yatoa masharti
Baada ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda kutoa rai kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanyike ...CHADEMA yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa madiwani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye Kata 14 zilizopo katika Halmashauri 13 nchini ambazo ...Dkt. Slaa: Hakuna sababu ya Mdee na wenzake 18 kuwepo bungeni
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa amesema haoni sababu inayowafanya wabunge 19 wanaoongozwa na Halima Mdee kuendelea kuwepo bungeni ...