Tag: CHADEMA
CHADEMA: Waziri Mkuu awajibike kwa ripoti ya CAG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwajibika kwa hasara iliyojitokeza ya ubadhirifu wa fedha katika ...Dkt. Slaa: CHADEMA imekomaa kushika nchi
Kwa takribani miaka nane baada ya kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na baadaye Balozi ...Mbowe: Nimepoteza mabilioni kuwa CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepoteza mabilioni ya fedha kwa kuwa mwanachama wa CHADEMA na kukitumikia ...CHADEMA yatangaza tarehe ya kuanza kwa mikutano ya hadhara
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza Januari 21 kuwa siku ya uzinduzi wa mikutano ya hadhara kitaifa. Taarifa ...CHADEMA: Tutaitoa CCM madarakani mwaka 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ...CHADEMA yapinga deni la TPDC na TANESCO kuwa deni la taifa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepinga suala la Wizara ya Nishati kuhamisha madeni ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Shirika ...