Tag: CHADEMA
CHADEMA yatangaza tarehe ya kuanza kwa mikutano ya hadhara
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza Januari 21 kuwa siku ya uzinduzi wa mikutano ya hadhara kitaifa. Taarifa ...CHADEMA: Tutaitoa CCM madarakani mwaka 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ...CHADEMA yapinga deni la TPDC na TANESCO kuwa deni la taifa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepinga suala la Wizara ya Nishati kuhamisha madeni ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Shirika ...CHADEMA yatishia kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimegoma kushiriki chaguzi ndogo zitakazofanyika Desemba 17, mwaka huu huku ikitishia kususia uchaguzi wa Serikali za ...Makada wa CHADEMA waliohukumiwa jela maisha washinda rufaa
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imewachiwa huru makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliohukumiwa kifungo cha maisha ...Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA adai hawakusikilizwa
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga amedai yeye na wenzake 18 hawakupewa nafasi ya kujieleza mahali popote kabla Baraza Kuu la CHADEMA ...