Tag: CHADEMA
Mdee na wenzake wafungua kesi ya kupinga kufukuzwa CHADEMA
Baada ya mahakama kutoa kibali kwa waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee na wenzake 18, sasa wamefungua ...Mchungaji Msigwa awataka vijana wa CHADEMA kuacha matusi mitandaoni
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umewataka wanachama wa chama hicho kuacha kutukanana katika mitandao ya kijamii, ...CHADEMA yataja ajenda zake kuu tatu kuelekea 2025
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, chama kimeandaa mkakati katika ...Wakili: Wabunge 19 wataendelea kuwa wabunge, kesi haijafutwa
Wakili anayeisimamia kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Emmanuel Ukasu amesema kesi ...CHADEMA: Uandaaji wa kanuni za mikutano ya hadhara ni uhuni
Kikao kilichojumuisha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, Baraza la vyama vya siasa pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, cha kujadili ...CHADEMA: Tunamtambua Mbatia kama Mwenyekiti NCCR-Mageuzi
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ameiomba mamlaka zinazohusika kusimamia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ...