Tag: China
Rais Mwinyi: China imeisaidia sana Zanzibar kimaendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema China imekuwa ikiisaidia Zanzibar katika mambo mbalimbali ya ...Tanzania yashinda shindano la TEHAMA China
Vijana watatu wa Kitanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Ndaki ya ICT (CoICT) wameibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA ...Nchi 10 Afrika zinazodaiwa zaidi na China
Athari za kiuchumi za janga la UVIKO-19 na vita vya Urusi na Ukraine vimefanya iwe vigumu zaidi kwa nchi nyingi za Afrika ...China yadai Marekani imerusha maputo kwenye anga lake bila ruhusa
China imedai puto za Marekani zimeruka juu ya anga lake bila ruhusa kwa zaidi ya mara 10 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022. ...Marekani yadai wadukuzi wa China wameiba TZS bilioni 46 za msaada wa UVIKO-19
Wadukuzi wanaohusishwa na Serikali ya China wameiba karibu dola milioni 20 [TZS bilioni 46.6] ambazo ni fedha za msaada za Serikali ya ...