Tag: China
Nchi 10 Afrika zinazodaiwa zaidi na China
Athari za kiuchumi za janga la UVIKO-19 na vita vya Urusi na Ukraine vimefanya iwe vigumu zaidi kwa nchi nyingi za Afrika ...China yadai Marekani imerusha maputo kwenye anga lake bila ruhusa
China imedai puto za Marekani zimeruka juu ya anga lake bila ruhusa kwa zaidi ya mara 10 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022. ...Marekani yadai wadukuzi wa China wameiba TZS bilioni 46 za msaada wa UVIKO-19
Wadukuzi wanaohusishwa na Serikali ya China wameiba karibu dola milioni 20 [TZS bilioni 46.6] ambazo ni fedha za msaada za Serikali ya ...China yaitoza Kenya faini TZS bilioni 25 kwa kutolipa mkopo wa SGR
China imeitoza nchi ya Kenya faini ya Ksh bilioni 1.31 [sawa na TZS bilioni 25.25] baada ya kuchelewesha malipo ya mkopo uliotolewa ...ATCL yapunguza nauli kwa wanafunzi wanaorejea masomoni China
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya punguzo kwa wanafunzi wa Kitanzania wanaorejea nchini China kwa ajili ya masomo yao. Akitoa ...Cesar Manzoki atimkia China
Klabu ya Vipers Sports Club imethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Cesar Manzoki amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Dalian Pro FC inayoshiriki ...








