Tag: Corona Tanzania
Benki ya Dunia yataja maeneo 4 inayotaka kushirikiana na Tanzania
Benki Dunia (WB) imesema ipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika ununuzi, usafirishaji na utoaji elimu ya UVIKO 19 kwa jamii ...Viwanja 10 Tanzania vilivyoingiza mapato zaidi msimu wa 2020/21
Wakati pazia la msimu mpya wa mwaka 2021/25 likifunguliwa mwishoni mwa mwezi huu, vilabu vimeendelea kuweka mikakati ya kukusanya mapato ili kuendesha ...Serikali yapunguza 50% ya ada za tozo za leseni za maudhui
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali inakwenda kuondoa 50% ya ada za tozo mbalimbali za leseni kwenye ...Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe
Akizungumzia chanjo ya UVIKO-19 katika Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ...Prof Janabi: Wasiochanjwa hatarini zaidi kuganda damu wakiugua
Wakati baadhi ya watu wakidai kuwa hawataki kuchoma chanjo ya UVIKO-19 kwa hofu kuwa watapata tatizo la damu kuganda, Mkurugenzi Mtendaji wa ...Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...