Tag: Coronavirus
Wizara ya Afya: Gharama ya kupima COVID-19 nchini ni TZS 231,000
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa toleo jipya la muongozo upimaji maambukizi ya viusi vya corona (COVID19) ...Cheti cha chanjo ya Corona huenda kikahitaji utakapohitaji kusafiri kwenda mataifa mbalimbali
Wakati chanjo ya virusi vya corona ikiendelea kutolewa katika nchi mbalimbali duniani, watu wanahamu ya kuona wakiweza tena kufanya mambo mbalimbali kama ...Umoja wa Ulaya kuipa Tanzania TZS bilioni 70 za kupambana na COVID19
Umoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo la kusaidia ...Wazikaji waandamana Afrika Kusini, wagoma kuzika miili ya watu
Takribani wazikaji 3,000 wameandamana nchini Afrika Kusini wakitaka kulipwa vizuri pamoja na mazingira mazuri ya kufanya kazi yao. Wazikaji hao wamegoma kuchukua ...Corona: Rais wa Malawi atangaza siku 3 za kufunga na maombi
Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za kufunga na maombi ya kitaifa kuanzia leo Julai 16, 2020 hadi Julai ...Tanzania yalegeza masharti ya safari za ndege nchini
Serikali ya Tanzania imelegeza vizuizi vya safari za ndege kuja na kutoka nchini ambapo sasa baadhi ya makundi ya safari yataruhusiwa kutokana ...