Tag: Coronavirus Tanzania
Ifahamu mikoa inayoongoza Tanzania kwa kutoa chanjo ya UVIKO19
Ikiwa ni zaidi ya miwili tangu kuzinduliwa kwa chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19) nchini Tanzania, zaidi ya Watanzania ...Waziri Gwajima aagiza madaktari wanaopotosha kuhusu Corona wawajibishwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari Tanzania (MAT) kuwachukulia hatua zikiwemo ...Serikali yapunguza 50% ya ada za tozo za leseni za maudhui
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali inakwenda kuondoa 50% ya ada za tozo mbalimbali za leseni kwenye ...Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe
Akizungumzia chanjo ya UVIKO-19 katika Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ...Prof Janabi: Wasiochanjwa hatarini zaidi kuganda damu wakiugua
Wakati baadhi ya watu wakidai kuwa hawataki kuchoma chanjo ya UVIKO-19 kwa hofu kuwa watapata tatizo la damu kuganda, Mkurugenzi Mtendaji wa ...Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...