Tag: Coronavirus Tanzania
Vituo 15 vitakavyotumika kutoa chanjo Dar es Salaam
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa, wizara ya ...COVID19: Maagizo mapya 9 ya wizara kuhusu uendeshaji wa ibada
Katika mwongozo mpya wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona uliotolewa leo na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee ...Tanzania kujiunga na mpango wa kusambaza chanjo wa COVAX
Tanzania inatarajia kujiunga na mpango wa kugawa chanjo ya Corona wa COVAX, Shirika la Afya Duniani limeeleza ambapo chanjo hizo zinaweza kuwasili ...Wizara ya Afya: Gharama ya kupima COVID-19 nchini ni TZS 231,000
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa toleo jipya la muongozo upimaji maambukizi ya viusi vya corona (COVID19) ...Cheti cha chanjo ya Corona huenda kikahitaji utakapohitaji kusafiri kwenda mataifa mbalimbali
Wakati chanjo ya virusi vya corona ikiendelea kutolewa katika nchi mbalimbali duniani, watu wanahamu ya kuona wakiweza tena kufanya mambo mbalimbali kama ...