Tag: dada wa kazi
Dada wa kazi akutwa amejinyonga Musoma
Mfanyakazi wa ndani aliyefahamika kwa jina moja la Modesta (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga Desemba 10, mwaka huu, Mtaa wa Zanzibar ...Dada wa kazi aliyemjeruhi kooni mtoto wa bosi ashikiliwa na polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Clemensia Mirembe (19) ambaye ni Dada wa kazi za nyumbani kwa kosa ...Dada wa kazi amnyonga mtoto siku mbili baada ya kuajiriwa
Mtoto Erickson Kimaro (8) anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi (jina halijajulikana) Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es salaam. ...