Tag: Daktari
Mtaalamu wa usingizi kwenda jela maisha kwa kuwapa sumu wagonjwa
Mahakama nchini Ufaransa imemhukumu kifungo cha maisha jela daktari wa usingizi, Frédéric Péchier (53) kwa kuwatia sumu kwa makusudi wagonjwa 30, huku ...Daktari asimamishwa kazi kwa madai ya kumbaka mgonjwa
Daktari mmoja kutoka Mombasa nchini Kenya, Dias Jumba Wabwire, amesimamishwa kazi na Baraza la Maafisa wa Kliniki baada ya kudaiwa kumbaka mgonjwa ...Daktari aeleza tatizo la kupumua lilivyokatisha uhai wa Membe
Prof.Harun Nyagori ambaye ni Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema sababu iliyosababisha ...Mauaji ya Daktari Tarime: Wananchi walalamikia Jeshi la Polisi
Wakazi wa Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini mkoani Mara wameilalamikia Jeshi Polisi juu ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi wala watu waliokamatwa hadi ...Mtanzania afariki kwa Ebola nchini Uganda
Daktari ambaye ni raia wa Tanzania (37) aliyekuwa akisomea Shahada ya Uzamili ya Udaktari kwenye Upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha ...Daktari ahukumiwa miaka 25 jela kumnajisi mtoto
Daktari Jean de Dieu Maniriho kutoka Musanze nchini Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnajisi ...








