Tag: Dar es Salaam
Wananchi watahadharishwa kufuatilia maji wanayotumia kuepuka magonjwa
Meneja wa Maabara Kuu ya Ubora wa Maji Dar es Salaam, Hashim Kabelwa amewasihi wananchi katika maeneo mbalimbali kuwa makini na kuzingatia ...Waziri atoa siku nne huduma ya Mwendokasi irejee kote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ametoa muda siku nne huduma ya mabasi ya mwendokasi irejee ...Wakazi wa Dar wapewa wiki 3 wawe wamepaka rangi majengo yao
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amewatangazia wakazi wote wa jiji hilo, hususani maeneo ya Kariakoo, Mchikichini, Jangwani, Kivukoni, ...Tanzania na China kuingia makubaliano ujenzi wa barabara ili kupunguza foleni Dar es Salaam
Katika mkakati wa kupunguza kero ya foleni jijini Dar es Salaam, Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. ...Benki ya NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es ...
Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala ...








