Tag: Dawa ya Corona
Madagascar: Maseneta wawili wafariki kwa corona, 25 wakutwa na maambukizi
Watunga sheria wawili, seneta mmoja na naibu seneta mmoja wamefariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, Rais wa Madagascar Andry ...Matokeo ya utafiti wa dawa ya Dexamethasona yaleta matumaini kutibu corona
Matokeo ya majaribio ya dawa ya dexamethasone yaliyofanyika nchini Uingereza yameonesha kuwa inaweza kuokoa maisha ya watu walio mahututi wanaougua ugonjwa wa ...Utafiti: WHO yasema hydroxychloroquine inaongeza vifo kwa wagonjwa vya Covid-19
Wakati dunia ikiendelea na majaribio ya dawa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na janga la corona, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesitisha ...Shirika la Afya Duniani kuifanyia majaribio dawa ya corona ya Madagascar
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema kuwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limekubali kuifanyia majaribio ya binadamu dawa inayoripotiwa kutibu corona inayozalishwa ...Kampuni ya Marekani yatangaza mafaniko ya awali ya chanjo ya corona
Kampuni ya kibiolojia ya Marekani, Moderna, imeripoti matokeo chanya ya awali ya chanjo ya kukabliana na virusi vya corona kufuatia majaribio ya ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...