Tag: Dawa za Kulevya
Raia wa Nigeria jela miaka 28 kwa kusafirisha dawa za kulevya
Mahakama Kuu ya Uhujumu Uchumi, Divisheni ya Makosa ya Rushwa, imemhukumu David Kanayo Chukwu, raia wa Nigeria, kifungo cha miaka 28 jela ...Ripoti: Marekani yathibitisha kundi hatari la Mexico lilikuwa na maabara ya dawa za kulevya Kenya
Serikali ya Marekani imethibitisha kuwa kundi hatari la uhalifu kutoka nchini Mexico, Jalisco New Generation Cartel (CJNG), lilikuwa likiendesha maabara kubwa ya ...Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ...Dawa za kulevya kilogramu milioni 1.96 zakamatwa nchini mwaka 2023
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu ...DCEA yakamata dawa za kulevya tani 54.5
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala ...DCEA yapongezwa ukamataji wa dawa za kulevya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kufuatia ukamataji wa dawa za kulevya zaidi ...








