Tag: Dawa za Kulevya
Mashtaka yanayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa Simba, Muharami Sultan na wenzake
Washtakiwa sita kati ya tisa akiwemo aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba SC, Muharami Sultan (40) na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ...Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Aina mbili za sababu za kutoa harufu mbaya kinywani
Harufu ya kinywa ama ‘halitosis’ ni tatizo linalowapata watu wengi ulimwenguni. Hali hii imekuwa ikihusishwa na usafi wa kinywa lakini pia matatizo ...Dereva aliyetumia gari la serikali kubeba dawa za kulevya asimamishwa kazi
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk. John Pima amesema halmashauri hiyo imemsimamisha kazi dereva wake, Athuman Magio kwa tuhuma ...Tanzania yakanusha kuruhusu kilimo na matumizi ya bangi
Serikali imesema kuwa haijaruhusu matumizi na kilimo cha bangi, na hivyo kuwataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Msimamo ...Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya China
Raia wa Tanzania aliyefahamika kwa jina moja la Dossa amekamatwa katika Mji wa Macau, China kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya ...