Tag: faini
CAF yaipiga faini Kenya milioni 127 baada ya mechi na Morocco
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limepigwa faini ya Dola za Kimarekani 50,000 [TZS milioni 127.8] kwa makosa ya kiusalama katika mechi dhidi ...Simba yapigwa faini mchezo dhidi ya Yanga
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeitoza faini ya TZS milioni 1 Simba SC kwa ...Mahakama yawatoza faini ya laki 3 waliomteka mwanamke kwa siku nne
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu wanaume sita kulipa faini ya shilingi 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kila ...China yaitoza Kenya faini TZS bilioni 25 kwa kutolipa mkopo wa SGR
China imeitoza nchi ya Kenya faini ya Ksh bilioni 1.31 [sawa na TZS bilioni 25.25] baada ya kuchelewesha malipo ya mkopo uliotolewa ...Atakayebadilisha, kufichua taarifa binafsi faini milioni 10
Katika udhibiti wa ufichuaji taarifa binafsi sheria inayopendekezwa inaeleza kuwa mtu ambaye atabainika kuharibu, kufuta, kupotosha, kuficha au kubadilisha taarifa binafsi kinyume ...Watakaojifungulia nyumbani faini TZS 50,000
Serikali ya Kijiji ya cha Marumba kilichopo wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara imeanza kuwapiga faini ya shilingi 50,000 akina mama wote watakaobainika kujifungulia ...








