Tag: figo
Muhimbili: Wanaoruhusiwa kuchangia figo ni ndugu pekee
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili imefafanua kuwa watu wanaoruhusiwa kuchangia figo ni ndugu wa karibu wa mgonjwa pekee, na uchangiaji huo ...Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi kuongezeka
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku ...Mambo 6 ya kufanya kujikinga na ugonjwa wa figo
Wataalam wa afya husisitiza jamii mara kwa mara kujikinga na magonjwa hasa yasiyoambukiza ikiwemo ugonjwa wa figo ili kuepuka madhara makubwa yatokanayo ...Vyakula vya kuepuka kwa wagonjwa wa figo
Wataalamu wanasema vyakula vinavyozuiwa kwa mgonjwa wa figo hutofautiana kulingana na kiwango cha uharibifu wa kiungo hicho. Akizungumza Ofisa Lishe Mtafiti kutoka ...Wananchi Kenya wajitokeza kuuza figo
Hospitali Taifa nchini Kenya imesema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanaouliza na kujitolea kuuza figo zao. Katika chapisho la Facebook, ...Vyanzo vikuu vinne vya ugonjwa wa Figo
Ugonjwa wa Figo huogopwa sana kwani sayansi ya matibabu haina tiba yake. Magonjwa ya kudhoofisha ya figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani ...








