Tag: Harufu haikuwa kichwa cha mtu
Polisi: Harufu haikuwa kichwa cha mtu, bali ni dawa zilizochanganywa na utumbo wa samaki
Jeshi la Polisi mkoani Singida limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mtu mmoja kutiliwa shaka na wafanyakazi wa basi namba ...