Tag: India
Abiria kutoka Tanzania wakamatwa India na dhahabu ya wizi 53kg
Kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya Rand 320 milioni (TZS bilioni 9.18) zimenaswa katika visa viwili tofauti katika uwanja wa ndege ...India kuipita China kama nchi yenye watu wengi duniani
Umoja wa mataifa (UN) umetoa ripoti kuwa idadi ya watu duniani itafikia bilioni nane ifikapo Novemba 15 huku India ikitarajiwa kuchukua nafasi ...Ex wa Bibi Harusi amtumia zawadi ya bomu kwenye harusi, wawili wajeruhiwa
Wanandoa wawili katika kijiji cha Mindhabari, nchini India wamejikuta kwenye matatizo baada ya aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Bibi Harusi, Raju Patel ...Wazazi wamshtaki kijana wao kwa kutowapatia mjukuu
Wanandoa katika Jimbo la Uttarakhand, Kaskazini mwa India, Sanjeev (61) na Sadhana Prasad (57) wamemshtaki kijana wao wa pekee na mkewe kwa ...






