Tag: jela
Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...Kijana wa miaka 20 ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti ndugu yake
Mashauri Ng’oga Shauri (20) mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha maisha jela ...Afungwa maisha kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza
Mahakama ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imemhukumu kifungo cha maisha jela Justine Ludege (20) mkulima na mkazi wa kijiji cha Utengule ...Mwalimu jela miaka 30 kwa kulawitiwa na mwanafunzi
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 ...Watu 11 wa ‘Tuma kwa namba hii’ wahukumiwa jela miaka mitatu
Watu 11 wakazi wa Ifakara mkoani Morogoro wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni 6 kwa kila ...Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 100 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ...