Tag: jela
Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 100 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ...Mwandaaji wa Miss Rwanda jela miaka mitano kwa ubakaji
Mwandaaji wa shindano la urembo la Miss Rwanda, Dieudonne Ishimwe (36) maarufu Prince Kid amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa ...Baba aliyembaka binti yake asema alijua ni mkewe
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Augustino Michese (59) kwa kosa la kumbaka binti yake wa kumzaa ...Rwanda: Waziri mstaafu ahukumiwa miaka 5 jela kwa ufisadi
Mahakama Kuu mjini Kigali nchini Rwanda imemhukumu kwenda jela miaka mitano pamoja na kulipa faini ya Rwf30 milioni [TZS milioni 65.1] aliyekuwa ...Tunisia yawafunga jela wanawake tisa kwa ugaidi
Tunisia imewafunga jela wanawake tisa wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge la kigaidi ambao wanatuhumiwa kupanga njama ya kumuua waziri wa serikali ya ...Ahukumiwa jela kwa kutumia cheti cha mtu mwingine kujiunga chuo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Elina Masawe kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kutumia cheti cha kidato cha nne ...