Tag: jela
Mkuu wa Polisi Nigeria ahukumiwa kwenda jela miezi mitatu
Mahakama Kuu nchini Nigeria imemhukumu Mkuu wa Polisi nchini humo, IGP Usman Alkali Baba kifungo cha miezi mitatu jela kwa madai ya ...Mwanamke akamatwa akijaribu kupenyeza bangi kwa mumewe aliyeko gerezani
Mwanamke mmoja nchini Kenya, Caroline Imenza amekamatwa siku ya Jumapili kwa kujaribu kupenyeza bangi kwa mumewe ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa ...Rais Mstaafu wa Comoro ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mahakama nchini Comoro imemhukumu kifungo cha maisha jela Rais Mstaafu nchi hiyo, Ahmed Abdallah Sambi ambaye amepatikana na hatia ya kuuza hati ...Makada wa CHADEMA waliohukumiwa jela maisha washinda rufaa
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imewachiwa huru makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliohukumiwa kifungo cha maisha ...Jela miezi 18 kwa kudai ametekwa, kumbe alikuwa kwa mpenzi wake
Mwanamke mmoja huko California, Sherri Papini (39), amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Shirika la ...Miaka 80 kwa kosa la ubakaji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watuhumiwa wawili ambao ni Paul Hilonga (60) mkazi wa Karatu kwa kosa la ubakaji, na ...