Tag: jengo lililoanguka
Wafanyabiashara wa jengo lililoanguka Kariakoo wafungua kesi kudai fidia
Takriban Wafanyabiashara 50 wa ghorofa lililoanguka Kariakoo mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam ...