Tag: Jeshi
Jeshi la Sudan linakaribia kudhibiti Ikulu
Televisheni ya taifa ya Sudan imeripoti kuwa Jeshi la Sudan liko karibu kuchukua udhibiti wa Ikulu ya Rais mjini Khartoum kutoka kwa ...Jeshi la Israel lakiri kushindwa kuwalinda raia wake
Uchunguzi wa ndani wa Jeshi la Israel kuhusu shambulio la Hamas la Oktoba 7, 2023, umekiri kuwa jeshi lilishindwa kabisa kuzuia shambulio ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku kampuni za ulinzi kutumia Gobore
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku kampuni binafsi za ulinzi kutumia silaha zilizotengenezwa kienyeji aina ya gobore kinyume na sheria. Akitoa taarifa ...JKT: Hakuna mateso kwenye mafunzo kwa vijana
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewatoa hofu wazazi, walezi na vijana kuhusu malezi ya vijana walioitwa kuhudhuria mafunzo ya JKT kwamba ni ...Mkuu wa Jeshi Sudan afungia akaunti za benki za jeshi la akiba (RSF)
Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa agizo la kuzifungia akaunti zote za benki za jeshi la akiba (Rapid ...