Tag: Jeshi la Polisi
Dereva akamatwa kwa tuhuma za kumgonga na kumuua trafiki Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia dereva wa gari la Shule ya Msingi Nyamuge, Philipo Mhina kwa tuhuma za kumgonga na kusababisha ...Mwanafunzi wa kidato cha tatu ashikiliwa kwa kudaiwa kumuua mwalimu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jabir, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya ...Raia wa China katika mradi wa SGR kizimbani kwa kumpiga mpishi
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Jeshi la Polisi linamshikilia mkandarasi wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Zheng Yuan ...Jeshi la Polisi: Tumeona video za askari, tunafanya uchunguzi pamoja na kumpima
Jeshi la Polisi Zanzibar limesema linamchunguza askari anayetuhumiwa kujiuhusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga) na kwamba endapo ikithibitika kuna ukweli wa ...Gari lililoibwa kwenye mradi wa SGR lakamatwa likitafutiwa mteja
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya TZS milioni 180 liliokuwa limeibwa katika mradi ...Wanachuo wakamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji kijinsia mtandaoni
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashililia Efron Isaya (32) na Cosmas Robert (26) wote wanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo cha Taasisi ...